KAMATI Kuu ya Chama cha ACT- Wazalendo imewateua Mbarara Maharagande kuwa mgombea wa Ubunge Jimbo la Segerea, Zitto Kabwe Jimbo la Kigoma Mjini, Jimbo la Ukonga ni Webiro Wakazi Wassira, Jimbo la Kigamboni ni Mwanaisha Mndeme, Kibamba ni Moses Ndonde na Jimbo la Arusha Mjini ni John Shayo.
Orodha hiyo imetajwa Agosti 16, 2020, na Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu, ambaye pia ameteuliwa kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini.
Majina ya wagombea wote wa ubunge walioteuliwa ni yafuatayo:
Comments
Post a Comment